Kwa kipindi cha nyuma, miaka kadhaa iliyopita hakuna mtu yeyote aliyekuwa na ujasili wa kijitokeza hadharani na kukikiri kuwa yuko katika mtandao huu wa "FREEMASONS" kwani jamii ingemtafsiri kama mtu wa kutoa kafara ili apate utajiri.
Swali la kujiuliza kwa sasa ni;
"Je, watu hawana hofu tena juu ya mtandao huu au watu hawaamini tena katika uhalisia wa mfumo wa utendaji kazi wa mtandao huu?"
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kuna matangazo yanabandikwa mtaani ili kuwasihi watu wajiunge na mtandao huu.
No comments:
Post a Comment