Teknolojia ya kupiga chapa 3D yabadili mambo Tanzania
Teknolojia ya kutengeneza vitu halisi kwa kupiga chapa, maarufu kama ‘3D printing’ inabadilisha jinsi nchi zilizoendelea zinavyozalisha vitu kama nguo,vifaa mbali mbali na hata nguo bandia.
Hamu ya watu kutaka kutumia teknolojia hii inakua kwa kasi kubwa hasa katika nchi za Ulaya na Marekani Kaskazini na baadhi ya nchi za Afrika hazijaachwa nyuma.
Moja ya nchi hizi ni Tanzania ambapo teknolojia hii inarahisisha mambo na hasa masomo
No comments:
Post a Comment