MENU

Sunday, July 24, 2016

WAZIMBABWE HAWANA IMANI NA MUGABE

Wazimbabwe hasa waishio maeneo ya mijini wanamtaka Rais Mugabe ajiuzulu katika wadhifa wa urais kwani hawezi kutatua matatizo ya kiuchumi ya taifa hili.

Kiongozi huyu mwenye umri wa miaka 92 sasa, bado anaamini kwamba ni yeye pekee kwa sasa anaweza kuikomboa Zimbabwe kutoka kwenye umasikini.

Wakati sakata la Kumtaka Mugabe ajiuzulu likiwa linaendelea, China iko tayari kuwekeza dola bilioni 4 nchini Zimbabwe katika miradi mikubwa ya nishati na miundombinu.

No comments: