Anenavyo Gigy Money
"Mimi
bwana siingii vihoteli uchwara, sehemu zangu za kula raha zipo Masaki
na Posta, huko ndiyo kuna viwanja ambavyo Gigy Money anaweza kukaa na
kupata chakula cha usiku kwa raha. “Pande hizo lazima uwe vizuri,
angalau mtu akiwa na laki 7 au 8 basi outing yetu inaweza kuwa nzuri."
No comments:
Post a Comment