MENU

Monday, July 11, 2016

CR7 na Eder


Akiongea na waandishi wa habari amesema '' Ronaldo alinieleza kuwa mimi lazima nitapata goli la ushindi. Alinipa matumaini na nguvu na kwakweli vimesaidia. Ni goli zuri tangu nianze michuano hii ya Euro. Kwa kazi yoote tuliyoifanya, kwa wareno woote, ni furaha iliyoje, kwakweli tunastahili kupongezwa''- EDER

No comments: