Raha ya Ushindi
Team Ya Taifa ya Ureno (Portugal) Wakiwa ndani ya Ndege wakiwa wanarejea nyumbani kwao wakitokea Nchini Ufaransa ambako ilimfunga goli moja Ufaransa.
Inasemekana kujiamini, ujasiri, umoja na hamasa iliyotawala kambini mwao ni moja ya vitu vilivyowafanya washinde.
Viva Ureno
The Tanganyika Press
No comments:
Post a Comment