Wizara ya mambo ya ndani inatoa huduma zifuatazo;
- Kulinda usalama wa raia na mali zao
- Kuhifadhi na kuwarekebisha wafungwa
- Kusimamia masuala ya zimamoto na uokoaji
- Kuwezesha na kusimamia utokaji na Uingiaji nchini wa raia wa kigeni
- Kutoa huduma kwa wakimbizi waliopo nchini
- Kusimamia programu ya huduma kwa jamii
- Kujenga na kusimamia mfumo wa utamabuzi na usajili wa watu na kutoa vitamulisho vya taifa kwa raia na wageni wenye miaka 18 na kuendelea
- Kushughulikia malalamiko
- Usajili wa vyama vya kijamii
No comments:
Post a Comment