Malcolm Turnbull Waziri mkuu wa Australia |
Mataifa makubwa yanayoruhusu
ndoa za jinsia moja
|
Wakati Australia ikijiandaa kupiga kura ya kupitisha sheria ya kuhalalisha ndoa za jinsia moja ifikapo Februari 11, 2017, chama cha upinzani cha Labor Party kimesema hakuna haja ya kupiga kura bali serikali ipitishe tu sheria hiyo kwani zoezi la kupiga kura litaigharimu serikali mamilioni ya dola. Dola za kimarekani milioni 5.6 zinatarijiwa kugharimia kura hiyo.
Hata hivyo utafiti wa hivi karibu umeonyesha kwamba 57% ya raia wa Australia wanaunga mkono ndoa za jinsia moja.
Mswada wa sheria uliwasilishwa bungeni jana na waziri mkuu.
No comments:
Post a Comment