UFUNGUO WA TAKWIMU ZA MCHEZO; (Goal.com)
- Total shots = Jumla ya mashuti
- Shots on target = Mashuti yaliyolenga goli
- Completed passes = Pasi zilizokamilika( zilizofika kwa mlengwa )
- Passing accuracy = Ukamilifu wa pasi (ufika wa pasi kwa mlengwa)
- Possession = Umiliki (wa mpira mchezoni)
- Corners = Kona
- Offsides = Kuotea
- Fouls conceded = Kutendewa madhambi (Kufanyiwa faulo)
Mara ya mwisho kwa timu ya Chelsea kupoteza mechi ijumaa usiku ilikuwa Disemba mwaka 2003 ilipofungwa na Charlton Athletic goli 4-2.
No comments:
Post a Comment