

Amekuwa Kocha wa Kwanza wa England kwa kukaaa siku 67 tu na kuchezesha mechi Moja tu dhidi ya England Vs Slovakia, ambapo England ilishinda goli 1. Allardyce, mwenye Umri wa Miaka 61, anahusishwa kutumia kiasi cha £400,000 kupata dili na kampuni tanzu. Shirikisho la mpira la England, FA linasema Allardyce amekosea na nafasi yake kwa sasa itashikiliwa na Gareth Southgate.
No comments:
Post a Comment