MENU

Tuesday, August 23, 2016

URUSI YAFUNGIWA USHIRIKI WA MICHEZO YA OLIMPIKI YA WALEMAVU BAADA YA RUFAA YAO KUGONGA MWAMBA


Vladimir Lukin said most Russian Paralympians were not guilty of doping and that he was ready to prove that the team had fulfilled all its anti-doping obligations.
Vladimir Lukin ambaye ni Rais wa kamati ya Olimpiki kwa watu wenye ulemavu kutoka nchini Urusi akiwa katika mkutano na waandishi wa habari alikiri kwamba kitendo cha wanamichezo walemavu kunyimwa fursa ya kwenda Rio nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki olimpiki ni kitendo cha uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kiwango cha juu sana kwani wanamichezo hawa walemavu kutoka nchini Urusi hawahusiki kabisa katika matumizi ya dawa zilizozuiwa michezoni na akaongeza kwamba alikuwa tayari kuthibitisha kwamba wanamichezo wake walikuwa wamekidhi vigezo vyote vya kutotumia dawa zisizoruhusiwa michezoni.

No comments: