Sellapan Ramanathan maarufu kama S.R. Nathan, alifariki jana Jumatatu akiwa na umri wa miaka 92, hii ni kwa mujibu wa taarifa za serikali ya Singapore kupitia ofisi ya Waziri mkuu. Nathan ndiye Rais amabaye ameiongoza Singopore kwa muda mrefu zaidi kuanzia mwaka 1999 hadi 2011. Amefariki akiwa na umri wa miaka 92. Alifariki akiwa hospital ya "Singapore General Hospital" alipokuwa amepelekwa baada ya kupata mshituko
No comments:
Post a Comment