Wananchi wamcharaza viboko Mwenyekiti wa Kijiji cha Simike Wilayani Rungwe, Mkoani Mbeya kwa
kuwasilisha sh.10,000 akidai ndio mapato ya mwaka ya Masoko. Inaelezwa kuwa mwenyekiti huyo alikuwa amegoma kuwasomea wanakijiji mapato na matumizi ya kijiji kwa zaidi ya mwaka mmoja
No comments:
Post a Comment