Bunge la Afrika Mashariki
limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya
jamii ya Afrika Mashariki kulingana na gazeti la The Citizen nchini
Tanzania.
Gazeti hilo linasema kuwa wajumbe wa bunge hilo
wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa yakisubiriwa sana kwa kuwa
lugha hiyo imechukua jukumu kubwa la kuwaunganisha wakaazi wa Afrika
Mashariki.Hatua inayofuata ni kwamba mkataba wa EAC utalazimika kufanyiwa marekebisho
No comments:
Post a Comment