MENU

Thursday, August 4, 2016

"MOON EXPRESS" KUTUA MWEZINI MWAKANI NA KUVUNJA REKODI

Moon Express yawa kampuni binafsi ya kwanza kupewa kibali cha kutua mwezini. Ni baada ya mazungumzo yaliyochukua miezi kadhaa kati ya kampuni hii na wakala wa masuala ya usafiri wa anga nchini Marekani (TAA).
Lakini uamuzi wa Moon Express kutua mwezini mwaka 2017 umefikiwa kwa ushirikiano wake na TAA, NASA, State Department, Ikulu ya Marekani (White House) na wakala wengine wa serikali ya Marekani.
Kifaa kitakachotumika katika safari hii kinajulikana kwa jina la MX-1 lander.

No comments: