Athari kubwa kabisa ni ile ya watoto kuzaliwa na vichwa vidogo kupita kawaida na hali hii kitaalam ni kiashiria cha ubongo kutokukua kikamilifu na hii inamaanisha uwepo wa athari katika afya ya akili pia.
Taarifa za uchunguzi wa kitabibu zinasema kwamba hata kama mtoto hatazaliwa na dalili za wazi zinazoonyesha kwamba amathiriwa na ugonjwa wa Zika, athari zitaonekana baadaye kadri mtoto anavyoendelea kukua.
No comments:
Post a Comment